Msaada: Wiki ya pili now nimefungiwa instagram account

Msaada: Wiki ya pili now nimefungiwa instagram account

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,989
Reaction score
4,369
Habar wakuu

Msaada tafadhali week ya pili now nimefungiwa instagram account nimefuata hatua hizi lakini hamna kitu, naomba kama kuna hatua zaidi mnisaidie
Asanten.View attachment 2139439
Screenshot_20220305-093609.jpg
 
Kwa Vile umevunja sera zao za kijamii (huenda umeposti connection ya mhadhiri wa IAA).

Hivyo angalia kweli email yako uliyo sajilia account lazima wamekupa taarifa kwa kuifungia account na kwa muda gani (wanaweza kukupa Muda au kuifunga mazima).

Ukisha gundua kama wamekuonea unaweza Rudi kwenye kiboksi ulicho screenshot ili ujaze rufaa yako (huwezi jaza rufaa bila kujua kosa la kukufanya ufungiwe)
 
Bos hiyo ndo imeemda me wamefunga 516k nimeanza moja
Utaapeal mpk utachoka
Wanafunga sana ac sahiz ukikosea kdg tu
Instagram wanapoteana watu wamehamia TikTok sikuhiz hawana ujinga ujinga

Mimi wamefungia ikiwa na 1million followers
 
Kama sio ya biashara fungua ingine mkuu

Hujaeleza umekosa nini hadi kufunguwa
Lazima wamekutumia email kukupa sababu za kufungiwa
 
Wakuu msaada kwa atakaeweza kunisaidia kurudisha account yangu ya Instagram nimesahau password na email sina access nayo
 
Back
Top Bottom