Msaada: Whatsapp na play store imegoma

Msaada: Whatsapp na play store imegoma

Yap nimechange ila bado.
Ni device hii hii inayogoma
Mkuu mm ikiwahi kutokea kunasim ambazo huwezi kupata hyo huduma kwenye pray store, ila unacho fanya unaenda kwenye internet service, unaandika hyo wasup app download, itakuja na uta download..

Angalizo, hyo application huwa inachukua mda, mm nliupload kwenye tablet sumsang, iligoma nikaelekezwa na mtu na sasa naendelea...

Ukifanikiwa leta mrejesho mkuu
 
Shida yangu ni play store..... Sio wasap....
 
Kuna mambo 2,
1network, 2setting,
Unatumia sim aina ipi??
Hapa nilipo speed ina range 1Mb/sec
Nikiwa mbali na maeneo haya inafanya kazi.
Nikiunga wifi hata ya speed 20kb/sc...inafungua.
Natumia Samsung Galaxy grand
 
Ok, mkuu hyo seting haijakuwa configure, kuna aina hizo za sim kwenye mtandao wa tigo, na airtel mpaka uwapigie wai release hyo no, so ikiwa hutojari wasiliana na mtandao wako unaweza kupata usaidizi...
 
Nina settn za voda walizotuma na ndo natumia
 
Nilisha reset factor sana lkn bado.
Hapa issue ni network maana nikiunga wifi hata kama ipo low ya speed yangu inafanya kazi. Lkn nikiweka line humu haifanyi.
Nilisha kata tamaa nikitaka kupita play store naunga wifi
setting yoyote yenye proxy isio transparent ya internet haiwezi kudownload playstore wala kudownload whatsapp wala modern app yoyote ile, utaishia tu kuingia app za kizamani kama browser, opera mini nk

setting zenye proxy ni kama za wap, web, mms nk
solution ni kutengeneza mwenyewe setting manual

nenda setting then more network then mobile networks then acess point name, hapo utaona list ya setting za simu na kama huna setting kutakua kweupe

bonyeza dots tatu za juu au click menu button utaona create new apn click hapo
-connection name andika neno lolote
-apn andika internet (kama ni halotel b-internet)

bonyeza menu key click save kama hakuna just back then utaiona setting yako mpya, iekee dot kwa mbele kuiactivate
 
Kote huko mkuu chief iko sawa
 
hakikisha apn yako ni internet na haina proxy
Dha.... Nimafanya hivyo ikakubali..... Shukran sana maana tangu mwaka jana iligoma.

Labda ungetoa darasa kidogo ni kwa nn proxy imekuwa ikizuia?
 
setting za wap ni kwa ajili ya simu za kizamani za mwishoni miaka ya 90 mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000, zilitengenezwa kwa ajili ya simu za wakati huo ambazo hata browser yake ilikuwa haina uwezo wa kufungua website vizuri hivyo ikabidi ziwekwe proxy ya ISP (mtandao unaokupa internet) ili kukusaidia.

proxy zipo za aina nyingi zipo ambazo ni transparent, hizi hazina neno sababu details zako zinaonekana na zipo proxy ambazo ni anonymous hizi huficha details zako na modern apps kama playstore hawazikubali sababu wanashindwa kujua wewe ni nani.

am not sure setting za wap wanatumia proxy ya aina gani ila ninavyofahamu playstore na app nyengine nyingi hawazikubali.

sijajua mitandao ya simu ni uzembe au ni uhuni wao wa kutaka watu wasimalize bundle, wamekuwa wakituma setting hizi za kizamani kwa simu zetu za kisasa, cha ajabu zaidi mwanzo walianza voda lakini sasa hivi tigo na airtel nao wamefata mkumbo wote wanatuma hizi setting za kizamani
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Naahkuru sana umenifungua macho sana
 
setting yoyote yenye proxy isio transparent ya internet haiwezi kudownload playstore wala kudownload whatsapp wala modern app yoyote ile, utaishia tu kuingia app za kizamani kama browser, opera mini nk

setting zenye proxy ni kama za wap, web, mms nk
solution ni kutengeneza mwenyewe setting manual

nenda setting then more network then mobile networks then acess point name, hapo utaona list ya setting za simu na kama huna setting kutakua kweupe

bonyeza dots tatu za juu au click menu button utaona create new apn click hapo
-connection name andika neno lolote
-apn andika internet (kama ni halotel b-internet)

bonyeza menu key click save kama hakuna just back then utaiona setting yako mpya, iekee dot kwa mbele kuiactivate
Nafikiri mkuu Mushi92 hatukuelewa vizuri pale mwanzo,,anyway,nilitoa maelezo juu juu tu,kosa linaweza likawa langu since sikutoa maelezo kamili kama haya!Good thing upo maana tatizo lingebaki unsolved!
 
yap ni kweli niliona ulimjibu hapo juu ila nikaona bado tatizo lipo. hili tatizo lipo toka 2012 au 2013 na kuna thread zinaweza fika hata 50 zinazozungumzia lakini still hadi leo mitandao yetu wanafumbia macho
 
yani same old shit,Hizi Telecom Company zetu zakibongo magumashi tupu yani.
 
Back
Top Bottom