msaada WESTERN DIGITAL 480 gb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada WESTERN DIGITAL 480 gb

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by bulunga, May 9, 2011.

 1. b

  bulunga JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  salamu aleykum wana jamvi,

  nina external driver western digital 480 gb,nimeweka data zangu ambazo ni kama 80% capacity ya storage, lakini jana nikajaribu kufanya kazi( ku access) nimepigwa na butwaa haisomi na message ina sema natakiwa kui format, nimechanganyikiwa siju nifanye nini, naomba msaada kwa mwenye ujuzi wa swala kama hili anisaidie
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  1. Jaribu kwenye PC nyingine
  2. Jaribu kubadili USB Cable/ Port unayotumia
  3. Chomoa devices zote zengine za USB.

  4. Jaribu hii kitu:

  5.Jaribu kwenye HD case tofauti.

  Mwisho kuna uwezekano HD imeharibika (physically) hapo ujue umeumia.
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  download easy recovery software ufanye backup ndio uformat lakini data hazitajipanga kama mwanzo, epuka sana kutumia kwenye pc zinazoleta hii msg: ur connected high speed usb device into non speed usb port
   
 4. b

  bulunga JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  nimejaribu , lakini inasema hakuna partition then enter the starting cylinder (0-38912)
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  nishawahi kukutana huu ujumbe....hembu NGU nifafanulie kwanza...ukikomaa kwenye pc yenye ujumbe huu inakuaje??
   
 6. b

  bulunga JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  New msg reads
  the following sector FAT12 cant be recovered.....
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180

  Mi nakushauri kama ina warrant kareplace tu...
  Kama una utaalamuwa ubuntu-linux version jaribu kurun hiyo external kwenye linux,ikishindwa huko then huna ujanja...it works for several times...kwenye window inataka niformat,kwenye linux inasoma fresh!! Try tht may b it will work
  NB. Na kama ikisoma ka ubuntu usiicheleweshe,copy data zako muhimu ..then go on formating or whtver!!
   
 8. b

  bulunga JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nachanganyikiwa, see this msg
  check FAT, cannot read FAT boot sector, FAT32.....
   
 9. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Jaribu kwenye pc yenye NTFS

  FAT
  ni File Allocation Table inayo control au yenye iformation jinsi contoller inavyotakiwa kufanya Read and write and fetch z kwenye Disk

  Vile vile unaweza run command ya
  chkdsk. Google neno check disk command ujue zaidi option ulizonazo za hii command. Hii ni comand inaweza kujaribu kufanya repairing za bad sector
   
 10. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  external hdd za siku hizi zinapata power kupitia usb ambayo ni 5Volts sasa unapochomeka kwenye machine ya kizamani ukakutana na hiyo msg ufahamu voltage ni ndogo inashindwa kuzungusha spindle motor ipasavyo outcomes yake file system inapotea inakuwa RAW format
   
 11. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hii Raw format maana yake ni nini?beside tuseme un external HDD ile cable yake ina two wires ila ukiconect just single wire inadetect fresh.so does this have any effects?
   
 12. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,581
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  raw ni kuwa partition information inakuwa corrupted but data still zinakuwepo na kwa zile hdd ambapo unakuta kuna cable pacha na fupi ya ziada ndani yake kuna wire mbili kwa ajiji ya kuboost power ikiwa umechomeka hdd yako lkn haionekani au unapata msg kama hdd not recognise @ zasasule
   
 13. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #13
  May 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  inakuwa recognised bila tatizo.ila do u thnk ukiconect ina effect yoyote?
   
Loading...