Ndugu zangu nimetumiwa ujumbe wa 30 minutes skype interview siku ya jumatano saa 10 jioni baada ya kufanya 'job application' nchini canada.sina uzoefu na matumizi ya skype na vilevile computer ninayotumia haina web camera ili tuweze kuonana face to face na msahili.Mwenye uzoefu na haya mambo naomba anisaidie jinsi mambo yanavyokuwa na niwapi naweza pata sehemu wanayotoa huduma hii kwa uzuri zaidi na wanacharge kiasi gani hapa dar ikiwezekana maeneo ya posta.nitarejesha mrejesho