Aisee, Sio mbaya! Ila Open University inahitaji commitment kweli kweli.
Tafuta wenzio wawili watatu wanaosoma course yako, ambao mnaweza kukutana kwa ajili ya Discussion,
Nasisitiza ni ngumu bila commitment.
Ni rahisi ukiamua.
Wanamfumo wao wa Test za Online(course work), sina uhakika kama bado zipo, na kuna MTT! hakikisha unazifanya.
Kama hujajicomitt utakuta degree ya Miaka 3 inaisoma kwa miaka 5 au 6.
All the Best