HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,399
- 6,077
Habari guys najua humu kuna watu wenye uelewa ambao wanaweza kulipima hili swala Nina brother yangu anakaa German but now amekuja tz amefika last week na wageni watatu toka huko sasa kuna swala wamekutana nalo hapa tz hao wageni wanataka kabla hawajaondoka walishughulikie hivyo Wa nahitaji 20M ya mkopo ndani ya wiki moja I narudi watatoa riba 10 hivyo itakuwa 30M Mimi nitachukua 2M huyo aliyetoa mkopo atachukua 28 wiki moja tu kitu cha kuweka kama bondi nitatoa hati ya nyumba njoo pm tuyajenge zaidi