Soko
huria mkuu hadi kwenye ajira. it depend na
organisation utayopata.Cha msingi ni money has never been enough whatever the figures teh teh teh.
- Some organisation negotiate salary na muajiriwa
- Saalary inaweza kuwa determined na experience
- Salary inaweza kuwa influnced na eneo mkoa au utakaofanya kazi.?
- Salary inaweza isiwe factor ya net income . huu ujanja unatumika ma mashirika na makapuni kuwkepa kodi na michango ya NSSF ya wafanyakazi kwa