Msaada wenu wataalamu

kyojo

Member
Mar 14, 2012
91
11
Ninaomba wataalamu wanaojua ukitaka kuijua samsung orijino unafanyaje make kuna mtu hapa anataka kunipiga changa la macho
 
*#1234#


Itakupa version ya hiyo simu


*#0*#

Itakupa sensor,colors, n.k
 
Back
Top Bottom