LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,223
wakuu naomba msaada wenu kwa lolote ulijualo juu ya OBD 2 SCAN TOOL ?. mm nifundi umeme wa magari so nilikuwa nataka kununua mashine kwa ajili ya kufanyia diagnosis,kupimia. so kulikuwa na option 2 . ya kwanza ni kununua mashine yenyewe maalum kwa ajili ya kazi hiyo.. na option ya 2 ni kununua softwere pamoja na cable ambayo softwere hiyo nita iinstall kwenye laptop na kuanza kuifanyia kazi?? so maswali yangu je ni njia ipi nzuri zaidi na?? na kama ni mashine je mashine ipi ni nzuri zaidi au kama ni softwere ipi ni nzuri?? kuhusu nimeandaa shilingi ngapi ni kwamba kama nimashine ninao uwezo wa kununua mashine ya shilingi milion moja na nusu?? zaidi ya hapo sina uwezo. msaada wenu wataalam