Msaada Wenu Wandugu


Joined
Dec 20, 2009
Messages
93
Likes
2
Points
0

TingTing

Member
Joined Dec 20, 2009
93 2 0
Wandugu, nimejaribu kuangalia google lakini sioni hata tonye list ya shule ambazo ni kali kimichezo haswa katika mpira wa miguu na kikapu hapa nyumbani. Naombeni msaada wenu katika kujua shule za sekondari toka kila mkoa ambazo ni kiboko sana kwa;

1. Mpira wa Miguu (Soccer)
2. Mpira wa Kikapu (Basketball)

Katika soccer angalau natambua Jitegemee, Makongo na St Antony's na katika kikapu niliwahi kusikia St Mary's School, Makongo, Tambaza, Forodhani na Azania. Sijui kama bado hiko hivyo hadi sasa.

Asanteni
 

Forum statistics

Threads 1,204,696
Members 457,412
Posts 28,167,024