Msaada wenu wanajukwa

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,456
1,563
Pc yangu ambayo ni mini aina ya asus inatatizo ambalo linajitokeza pindi unapotaka kusoma thread inaleta ujumbe kuwa'done-but with errors on page' je nifanyeje wakuu/nirekebishe kitu gani
 
Mkuu kwa upande wangu kwanza delete cookies and history ya browser yako. Then jaribu ku update browser yako pamoja na java yako ambayo ipo kwenye control panel alafu system and security. badaa ya hapo restart pc yako nadhani ni mambo ya compatibility kati ya browser yako na website.
 
ahsante kwa mawazo mkuu
 
Back
Top Bottom