Msaada wenu wanajamii

Msaada wenu wanajamii

Oldaganje

Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
33
Reaction score
9
Kuna mzee wangu mmoja hajakwenda kwao kwa miaka 24 sasa yeye anaitwa ELIAS JULIASI MABELE MAGESA Anasema kwao ni Makutano Mazami wilaya Musoma vijini ye ni ukoa wa Mabele Nyalusao Mama ake anaitwa Mwajuma Nyalutila.Jinalake la utoto alikua anaitwa Mbogola.Mwanae wa kwanza anaitwa Swago.Mkewe anaitwa Wazamwe kwao Mwanamke ni Byatika buhemba
 
Kwa hiyo unataka watu wafanyeje? Andaa taarifa yako vizuri ili watu waelewe na useme unataka au anataka nini huyo mzee.
 
Kaka Unautani Na Tutokao Huo Mkoa Wa WANAMUME? Na Nahisi Wewe Ni MHAYA au MUHA au MNYIRAMBA au MRANGI. Huna Adabu!!!!!!!!! ( Kidding ).
 
Kaka Unautani Na
Tutokao Huo Mkoa Wa WANAMUME? Na Nahisi Wewe Ni MHAYA au MUHA au
MNYIRAMBA au MRANGI. Huna Adabu!!!!!!!!! ( Kidding ).

Ndio mwanaume mwenzio kaadhirika hivyo,ngoja warangi tumchangie nauli akazulu makaburi ya kwao.
 
sasa anahitaji msaada wa nin sasa ....lkn watu wa huko watasaidia kupata nduguze
 
Back
Top Bottom