Nipo iringa na Nina Tsh.350,000 na ninataka kuagiza simu dar. Smartphone yenye prosessor nzur, internal memory yenye uwezo mzuri na camera nzuri. Naombeni ushauri. Aina Ipi ni nzuri kutokana na pesa nliyonayo? Nisaidieni ndugu zangu