msaada wenu wana IT kabla sijaingia chakike

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
kwanza natanguliza shukran zangu kwa wanajamvi woote wenye moyo wa kutusaidia kimawazo na kielim.

mm nifundi umeme wa magari kutokana na magari ya sasa kuwa yamekaa kidigital [technologia] zaidi nilikuwa nataka kuagiza mashine kwa ajili ya kufanyia diagnosis kama hii hapa

Automotive Diagnostic Scanner X431 Diagun Car Programming Software - Buy X431 Diagun,Automotive Diagnostic Scanner,Car Programming Software Product on Alibaba.com

au nilikuwa nataka kuagiza softwere ambayo unakuwa unaitumia kwenye pc au laptop kufanyia diagnosis kama softwere hii hapa

C168 car brain diagnostic scanner free update-in Code Readers & Scan Tools from Automobiles & Motorcycles on Aliexpress.com

MASWALI YANGU NI

1-je njia ipi kuitumia kati ya hizo 2 ni nzuri zaidi ??

2-faida ya kutumia mashine [diagnosis scan tool] na kutumia diagnosis softwere??

3-hasara ya kutumia mashine na kutumia softwere.

SAMAHANINI
mm sio mtaalam sana wa mambo ya computer na it sasa kama mtaniuliza maswali yenye lugha za ki it itaniwia vigum kidogo kuwajibu.
plz wanajamv naomba msaada wenu

Ushauri rahisi nenda google kisha type "advantage of using diagonosis scan tool" kisha utaletewa majibu pia fanya hivyo hivyo kwa diagonosis softwarw/advantage na dis advantage( andika kimoja kimoja ili iwe rahisi kupata majibu)
 
Back
Top Bottom