Naomba msaada wenu tafadhali

Naomba msaada wenu tafadhali

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,223
wakuu kwanza kabla ya yote nilikuwa naomba nitangulize shukrani zangu kwa member woote mliofanikisha kunisaidia kupata softwere ya #ALLDATA hasa shukrani zangu kwa mkuu Chipukizi. shukrani zangu zote ni juu ya msaada wenu kwenye uzi huu hapa http://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/498723-wataalam-wa-magari-msaada-wenu-plz-hii-kitu-inahitajika.html

kwa mara nyingine nilikuwa naomba msaada wenu wakuu mm nifundi umeme wa magari kama mjuavyo magari ya sasa hivi ni yakisasa zaidi yanahitaji kutengenezwa kisasa zaidi.
je kati ya utumiaji wa diagnosis car machine na diagnosis softwere kipi utendaji wake ni mzuri na wauhakika.

diagnosis car machine hii nimashine ambayo huwa na softwere ndani yake kwaajili ya kupimia magari


diagnosis softwere[SUB] hii ni softwere ambayo inabidi ui install kwenye computer (pc/laptop) ili uweze kupima magari[/SUB]

swali langu je kati ya njia hizi mbili ipi ni nzuri na niyauhakika.
na je mwaweza kunisaidia best diagnosis machine pamoja na softwere ambazo ni best.
kuna mashine tayali ninayo nia aina ya autoboss v30 lkn kwa sasa nilikuwa nahitaji kwaajili ya immobilizer(key +chip) programming
na nyingine kwaajili ya dash bord collection /tacho meter collection.hizi zote ziwe universall.


 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom