Msaada wenu wakuu!

Msaada wenu wakuu!

Wakuu naomba mnisaidie kimawazo mwenzenu, je inawezekana kwa mwanaume kuoa mke anaemzidi umri maana kwa kawaida mwanaume ndiye anaetakiwa amzidi umri mwanamke!

When u lv someone age,miles are just numbers!!
 
Attachments

  • 1400334745029.jpg
    1400334745029.jpg
    9.9 KB · Views: 91
Wakuu naomba mnisaidie kimawazo mwenzenu, je inawezekana kwa mwanaume kuoa mke anaemzidi umri maana kwa kawaida mwanaume ndiye anaetakiwa amzidi umri mwanamke!

Inawezekana,na fahamu jambo moja either of the two inakua poa mwanaume akizidi au mwanamke akizidi
 
Wakuu naomba mnisaidie kimawazo mwenzenu, je inawezekana kwa mwanaume kuoa mke anaemzidi umri maana kwa kawaida mwanaume ndiye anaetakiwa amzidi umri mwanamke!

ni vizuri mwanamme amzidi mwanamke umri kwasababu wanawake wanawai kuzeeka.
 
kama unawasiwasi isimuoe.unawezakuoa mwanamke wa kuchaguliwa?jibu la hililitatoka moyoni mwako
 
kwan amekuzid miaka mingap? Ikizid sana huwa mbaya.
 
Back
Top Bottom