Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Wakuu naomba mnisaidie
kimawazo mwenzenu, je inawezekana kwa mwanaume kuoa mke anaemzidi umri
maana kwa kawaida mwanaume ndiye anaetakiwa amzidi umri
mwanamke!
Navyojua mimi inategemeana na mpishano wa umri, mmezidiana miaka mingapi?