Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Mmmh...!!!!
Lol...
Mmmh...!!!!
Ooh no....siwezi mimi hata kidogo kudate na mdogo kuliko mimi
Wakuu naomba mnisaidie kimawazo mwenzenu, je inawezekana kwa mwanaume kuoa mke anaemzidi umri maana kwa kawaida mwanaume ndiye anaetakiwa amzidi umri mwanamke!
Ni mawazo yako!!!
inawezekana
Kila nikisoma post kama.hizi hua nasikitika sana kwann watu wanashi kwa mazoea namna hii
If she makes u happy what else do u need in this world?
Ooh no....siwezi mimi hata kidogo kudate na mdogo kuliko mimi
Umemaliza mkubwa. What matters is your happiness. PeriodKila nikisoma post kama.hizi hua nasikitika sana kwann watu wanashi kwa mazoea namna hii
If she makes u happy what else do u need in this world?
Ingawa wanashauri kama ni mwanamke asikuzidi zaidi ya five years. Ni sawa wakuu?Inawezekana bila ya tatizo lolote
Nilitaka kushangaa ukose kuchangia mada za hiviNami nashangaa pia ivi umri ndo unaoa au unatakiwa umtafute mtu anayekupa upendo na roho yako impende
Umri ni no tuu
Nilitaka kushangaa ukose kuchangia mada za hivi
Wakuu naomba mnisaidie kimawazo mwenzenu, je inawezekana kwa mwanaume kuoa mke anaemzidi umri maana kwa kawaida mwanaume ndiye anaetakiwa amzidi umri mwanamke!