OTHMAN BEY
Member
- Jun 20, 2026
- 74
- 123
- Thread starter
-
- #21
Sawa mkuu vitu hvyo maharage mekundu nikigusa tu balaa linaanza vtu vya uchachu nyanya n.k ndo usipimeVIkisha komaa hata ufanye nini mtu wangu, its over, unakuwa tu unatuliza symptoms zake.
Ponea yake nikuvitibu mapema (early stages)
UKiwa stage ya kati kati unakuta unapoona vinaamka baada ya miezi au mwaka.
Ili ikiwa konki, aisee utaliwa pesa sanaaaa kutafuta dawa
Stage yako, ni kumantain symptoms, Endelea kutumia dawa za kuituliza lakini pia kula mapema na milo mitatu, kunywa maji sana, lakini pia acha dagaa kabisa, maharage, vidonge vya maumivu ukiwa umeshiba na maji mengi
Usijaili madaktari wenyewe wanashangaa kwa nini nina vdonda mana mli wangu mdogo SANA 2008Tafuta mafuta ya kondoo na asali mbichi mix then uwe unatumia daily
Halafu ukishapona uje unipe ela ya bia mbili.
2008 ??Usijaili madaktari wenyewe wanashangaa kwa nini nina vdonda mana mli wangu mdogo SANA 2008
Halafu wengi ni gesi tu, hata kwenye vidonda vya tumbo hawajafikaOh basi akapime!
Dawa ya moto ni moto bwashee π
Nimeona kuna kiazi mmoja anadai akimbilie kwa YesuHabar wakuu nimekua nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo mda Sasa tangu 2019 nilipima mpaka endoscopy nkaonekana na vitatu vidonda na acid,,nimetumia dawa za hospital kila aina Bado msaada wenu wa tiba kwa waliopona kupata changamoto ya Madonda ya tumbo sugu
- malembeka18
- msaada sana tumbo
- Replies: 21
- Forum: Jamii Health (Jukwaa la Afya)
Achana navyo kaka.Sawa mkuu vitu hvyo maharage mekundu nikigusa tu balaa linaanza vtu vya uchachu nyanya n.k ndo usipime
Bora angeenda kwa muhamad ila angegeuzwa makalio ndio apewe msaada au sio The IcebreakerπNimeona kuna kiazi mmoja anadai akimbilie kwa Yesu
Anapatikana wapi?Fika Madale Attlas Schools pale wakuonyeshe ulipo Msikiti then Mtafute Dk.Awadh Rashidi
Sawa kaka nitaufanyia kaz ushauri wako!Achana navyo kaka.
Hata soda acha kabisaaaaa
Bora juice na isiwe na chungwa au pasheni
πππBora angeenda kwa muhamad ila angegeuzwa makalio ndio apewe msaada au sio The Icebreakerπ
Wewe toka uliwe tako basi mawazo yako yamekua yakiwaza kua kila mtu anaweza kuliwa tako kama unavyoliwa wewe tu! umeshakua mzoefu wa kutoa tundu mpaka unaona kua ni jambo la kawaida tu.Bora angeenda kwa muhamad ila angegeuzwa makalio ndio apewe msaada au sio The Icebreakerπ
Kama sasa hivi umeshakula ?Sawa kaka nitaufanyia kaz ushauri wako!