Tafuta Adobe creative Suite, ni program zote za Adobe, Photoshop, Premiere, After Effects etc ndo more or less industry standard.Nataka niweze kuedit video, picha za kawaida, kutengeneza Magazeti na vitabu
kwa ujumla nataka niwe mahiri katika mambo hayo, nisome Program zipi na wapi?
Word na excel tayari ingawa sina speed lakini sitype kwa kudonoa.Kwakuwa huwezi kusoma vyote kwa pamoja!
.
We anza na MICROSOFT tena haraka sana
.
yaani microsoft word, excel, n.k utajifunza na typingi speed yaani kutype kama li robot !
.
Kama tayari unajua nijibu