Mko powa wanabodi,
Nimeona leo niwahabarishe hili tatizo linaloutesa moyo wangu ni ukweli kuwa huyu mtoto wa huyu mkenya nampenda kutoka moyoni ila pakuanzia nimeshindwa kabisa,kwa yeyote mwenye uzoefu na masuala haya ya kimataifa hebu anieleweshe nitumie mbinu ghani huyu mtoto awe mke wangu kwanin kwa sasa anautesa moyo wangu sili silali namwaza yeye tu.
Nipeni mbinu na swagga nimpete huyu mtoto
Zawadi nono itatolewa kwa atakayenifanikishia huu mchongo
Mapenzi ya barua ni local sana...mimi nataka niende Washington DC kwani anasomea huko huko ikulu....????nataaka nimvizie ile ametoka tu skull nimsimamishe nianze kumwagia swagga mpaka akifika ikulu getini ashaniweka ubongoni