Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,111
- 173,933
Mdudu so special maneeee!Hahaha chezea mdudu ww

Nadhani ni suala la muda tu. Mwili huwa unafunguka wenyewe katika umri fulani. Atulia aenjoy lifeTulia mwili utakuja wenyewe usihangaike kuutafuta ukija kwa pupa utataka ukonde tena urudi kwenye wembamba.
Mimi kuna watu nilikua nawajua ni wembamba sana hata wale nini hawanenepi. Siku hizi wamekua vibonge.
Yes hakunaga mwembamba labda kwa ugonjwa.Nadhani ni suala la muda tu. Mwili huwa unafunguka wenyewe katika umri fulani. Atulia aenjoy life
Kila breakfast yako usikose amira mzeeHabarini za muda huu, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunapata chakula cha siku kwa familia na binafsi
.
.
Niende kwenye point moja kwa moja:
.
.
.
Mimi ni kijana umri wangu ni range (25--30), mpaka sasa nimeshapitia mahusino na mabinti watatu, nina urefu wa kutosha (sio kama hashim thabiti no), ila tatizo linakuja kwenye umbile la mwili wangu nimekuwa na changamoto kadha wa kadha
.
.
Kwenye familia yangu baba yangu Ana mwili wa kutosha na amepanda ewani vizuri sana, mama yangu hana mwili wa kutosha ni mwembamba
.
.
Binti wa kwanza, aliniacha kwa kuwa alipenda sana ninenepe na niwe na nyama nyama za kutosha ila haikuwa ivyo nilidumu nae kwa mwaka mmoja akaniacha
.
.
Binti wa pili, uyu alinishauri sana nile vizuri ninenepe, ila haikuwa ivyo tukaachana (kwa sababu nyingine tofauti na wembaba ingawaje alikuwa akinisisitiza sana ninenepe)
.
.
Uyu wa tatu nilimpenda mno tena mno ametoka kuniacha Nina week ya nne sasa (mwezi mmoj), uyu alinishauri Nile mayai, uji wa ulezi na maziwa..kwa mazingira nilikuwepo sikuweza kubalance ivyo chakula kwa sababu,
.
.
Nilichaguliwa kusoma chuo kikuu cha dodoma, collage of informatics, course ya computer engineering
.
.
Nilikutana na masomo magumu mno na changamoto ya chuo (collage ya informatics )ilikuwa ikinipa pressure muda wote
.
.
Kulingana na changamoto za chuo sikujali kuhusu wembaba wangu tena
Baada ya uyu binti wa tatu kuona bado nipo vilevile akaamua kunitafutia sababu na kuachana na mimi (ila Nina uhakika wa asilimia 95.5%) nimeachwa kwa ajili ya huu wembaba
.
.
Nimemaliza chuo mwaka huu, na matokeo yametoka poa nasubili graduu tu, sina tena streess nipo happy kabisa!!
Naombeni msaada wenu ni njia zipi nizifate angalu nipate mwili-mwili, sitaki kuwa kibonge sana ila napenda kuwa na nyama za wastani
Naombeni maoni yetu
Asante na mungu awabariki
Inaonekana hampitii page zote.
Hayo yote ameweka tayari.
Haiitaji rocket science kujua umeachwa na mchaga mkuuKaka yaaaani sijui unejuaje aki ya mungu daaah nimebaki nakufikilia ingawaje sikujui, na nina bahati sana ya kupata wa pande zile
mzigua unazingua bhana.kwani wembamba wa mtu unaubeba mfukoni???Ila hata mimi mwanaume mwembamba sana simtaki..
Ingekuwa inawezekana ningekupunguzia nyama zangu kidogo
mzigua unazingua bhana.kwani wembamba wa mtu unaubeba mfukoni???
Nimeoa huko nawajua vizuri sanaKaka yaaaani sijui unejuaje aki ya mungu daaah nimebaki nakufikilia ingawaje sikujui, na nina bahati sana ya kupata wa pande zile
ila inategemea,mwembamba na munene and vice versa is true. so sikushangai...ukute we ni chembamba piaMuonekano wao tu haunisisimui
Habarini za muda huu, poleni na miangaiko ya hapa na pale kuakikisha tunapata chakula cha siku kwa familia na binafsi
.
.
Niende kwenye point moja kwa moja:
.
.
.
Mimi ni kijana umri wangu ni range (25--30), mpaka sasa nimeshapitia mahusino na mabinti watatu, nina urefu wa kutosha (sio kama hashim thabiti no), ila tatizo linakuja kwenye umbile la mwili wangu nimekuwa na changamoto kadha wa kadha
.
.
Kwenye familia yangu baba yangu Ana mwili wa kutosha na amepanda ewani vizuri sana, mama yangu hana mwili wa kutosha ni mwembamba
.
.
Binti wa kwanza, aliniacha kwa kuwa alipenda sana ninenepe na niwe na nyama nyama za kutosha ila haikuwa ivyo nilidumu nae kwa mwaka mmoja akaniacha
.
.
Binti wa pili, uyu alinishauri sana nile vizuri ninenepe, ila haikuwa ivyo tukaachana (kwa sababu nyingine tofauti na wembaba ingawaje alikuwa akinisisitiza sana ninenepe)
.
.
Uyu wa tatu nilimpenda mno tena mno ametoka kuniacha Nina week ya nne sasa (mwezi mmoj), uyu alinishauri Nile mayai, uji wa ulezi na maziwa..kwa mazingira nilikuwepo sikuweza kubalance ivyo chakula kwa sababu,
.
.
Nilichaguliwa kusoma chuo kikuu cha dodoma, collage of informatics, course ya computer engineering
.
.
Nilikutana na masomo magumu mno na changamoto ya chuo (collage ya informatics )ilikuwa ikinipa pressure muda wote
.
.
Kulingana na changamoto za chuo sikujali kuhusu wembaba wangu tena
Baada ya uyu binti wa tatu kuona bado nipo vilevile akaamua kunitafutia sababu na kuachana na mimi (ila Nina uhakika wa asilimia 95.5%) nimeachwa kwa ajili ya huu wembaba
.
.
Nimemaliza chuo mwaka huu, na matokeo yametoka poa nasubili graduu tu, sina tena streess nipo happy kabisa!!
Naombeni msaada wenu ni njia zipi nizifate angalu nipate mwili-mwili, sitaki kuwa kibonge sana ila napenda kuwa na nyama za wastani
Naombeni maoni yetu
Asante na mungu awabariki
ila inategemea,mwembamba na munene and vice versa is true. so sikushangai...ukute we ni chembamba pia
sasa kibonge saizi yake ni mwembamba...basi we wa ajabu kweli duh...Mi kibonge mkuu
sasa kibonge saizi yake ni mwembamba...basi we wa ajabu kweli duh...
basi sawa....Sio kwa mie..
unafaa kwa matumizibasi sawa....