Msaada wenu wa haraka, wembamba unaninyima amani

Acha kuhangaika mkuu....dawa ni moja tuu ...kula mdudu daily mida ya jion jion plus bia ...nakuhakikishia ndani ya mwezi mmoja utaona mabadiliko makubwa sana mkuuu....mimi nilikula mpaka sasa nahangaika jinsi ya kukipunguza kitambi mkuu
Unaweza kuwa na Kitambi lakini mwembamba badoo..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna mahali unadhalilisha "COLLEGE" yako kwa kuiita "COLLAGE"! Hebu rekebisha.

Kuhusu mwili usihangaike kuwaza, tafuta hela tu, hata kama utakuwa kama kalamu watakugombania wenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…