silver25
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 743
- 44
- Thread starter
- #41
Mafia Boy, nikipata mwanamke anayenilazimisha kufanya mambo makubwa huyo nitampenda sana, kwasababu bila kuwa na challange huwezi kwenda mbele, na Mwanaume mkamilifu haogopi Vikwazo ila anaviingia na kutafuta njia ya kuvikabili,
Ni vyema wewe ukaendelea kuishi na mkeo asiyekupa challange kuliko mimi kukaa na mke bubu asiyenipa vikwazo ili nivikamilishe,
Kumbuka Tanzania inavikwazo vingi sana vya kimaendeleo lakini watu tupo na tunadumu, sijasikia mtu kaenda Kenya kuomba uraia kisa Tanzania tumejaribu kutafuta fursa za kimaendeleo tumekosa...