Msaada wenu unahitajika kufanikisha hili

Msaada wenu unahitajika kufanikisha hili

silver25

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
743
Reaction score
44
Kwanza Napenda kuwakaribisha kwenye vikao vinavyo endelea vya Harusi yangu inayotegemea kufanyika mwanzoni mwa mwezi wa Sita,
Lakini kama munavyo jua Harusi za Dar es Salaam, zina ghalimu sana, na Garama zake hazipungui 2000,000, ili kufanya mambo yote kwenda sawa.
Ndugu zangu kwa yeyote yule mwenye Mapenzi mema, naomba mchango wake wa kifedha, kimawazo, Vitu na hata vinywaji kama inawezekana ili kufanya Sherehe ya harusi yangu kufanikiwa.

Mwenye kutapenda, au kuhitaji kunisaidia tucheki kwa Tigopesa 0713-073280/ Mpesa 0752 014077, na Airtel Money 0684 706 735, nashukuru sana, Kwa maelezo zaidi piga namba hizohizo!
 
mi nakupa mchango wa mawazo.
unaweza tafuta rafiki zako ambao unataka wawe wasimamizi (wadhamini) wako wa ndoa.....
nenda nao unakopanga kufunga ndoa (msikitini, kanisani, kwa DC, nyumbani..........), huko kote wanaulizia wadhamini wa ndoa tu.....
mkimaliza hapo mnatawanyika au mnaenda kupata lunch/diner...... umemaliza kazi
wala huhitaji kuumiza kichwa kwa hili mdogo wangu
 
hujaambiwa kutoa coment, umeambiwa kama unania ya pekee changia
 
mi nakupa mchango wa mawazo.
unaweza tafuta rafiki zako ambao unataka wawe wasimamizi (wadhamini) wako wa ndoa.....
nenda nao unakopanga kufunga ndoa (msikitini, kanisani, kwa DC, nyumbani..........), huko kote wanaulizia wadhamini wa ndoa tu.....
mkimaliza hapo mnatawanyika au mnaenda kupata lunch/diner...... umemaliza kazi
wala huhitaji kuumiza kichwa kwa hili mdogo wangu

ok, we yakwako ulifanya hivyo?
 
si umeomba na mchango wa mawazo? au hiyo hukuimaanisha?

Kumkebehi mtu si kumpa Msaada bali ni kuonesha ujinga wa mtu anaye kebehi ulipo ishia!
 
Binafsi sikatai kama una uwezo kufanya sherehe kubwa! Ila kama huna uwezo ni vyema ukafanya lile unaloliweza
kwa sababu ni ukweli usiyopingika asilimia kubwa ya watu kwa hivi sasa hawako tayari kuchangia haya mambo,
Kwa sababu yanawaingiza watu kwenye gharama zisizo za lazima ndiyo maana siku hizi ili upate michango lazima ufukuzane na watu kufuatilia kadi.
 
Ni kweli kama Watu hawako Tayari kuchangia?
Maana kama kuchangia watu huchangia,

Lakini hilo wazo lako la Kufanya kile ambacho ninaweza kufanya Muheshimiwa limenigusa mmno, Nilitaka kwenda Kanisani na kumalizana na Padre, kisha nirudi home halafu nikacheki zangu Movie pake M city, lakini Wife anasema ni tukio la Kwanza na La mwisho maishani mwetu kwahiyo tusilifanyie Masihara..
Nalo ni wazo zuri sasa nipo dilema
 
hapo ndo wakaka wengi mnapoingia chaka......
kama swala ni wife basi a-facilitate......
kwani tukio la kwanza na la mwisho lazima limwache mmoja wenu kwenye maumivu?
 
Kwanza Napenda kuwakaribisha kwenye vikao vinavyo endelea vya Harusi yangu inayotegemea kufanyika mwanzoni mwa mwezi wa Sita,
Lakini kama munavyo jua Harusi za Dar es Salaam, zina ghalimu sana, na Garama zake hazipungui 2000,000, ili kufanya mambo yote kwenda sawa.
Ndugu zangu kwa yeyote yule mwenye Mapenzi mema, naomba mchango wake wa kifedha, kimawazo, Vitu na hata vinywaji kama inawezekana ili kufanya Sherehe ya harusi yangu kufanikiwa.

Mwenye kutapenda, au kuhitaji kunisaidia tucheki kwa Tigopesa 0713-073280/ Mpesa 0752 014077, na Airtel Money 0684 706 735, nashukuru sana, Kwa maelezo zaidi piga namba hizohizo!

Usifate harusi za Dar angalia mfuko wako....
kila laheri.
 
Usifate harusi za Dar angalia mfuko wako....
kila laheri.
eti anatimiza matakwa ya mke mtarajiwa!
hajui huwa hayaishi hayo.....
akianza leo kudai harusi kubwa wakati anajua huna uwezo ukamtekelezea kwa kuitisha harambee JF na FB kesho atakuja na jingine
 
eti anatimiza matakwa ya mke mtarajiwa!
hajui huwa hayaishi hayo.....
akianza leo kudai harusi kubwa wakati anajua huna uwezo ukamtekelezea kwa kuitisha harambee JF na FB kesho atakuja na jingine

Wanawake wa dizaini hii ndo hawa wa kuolewa kwa kuwa flani kaolewa.....
anaona mwanaume uwezo wake mdogo anakomaa kutaka mambo makubwa!!!
Haku ni kumpa wakati mgumu mme wake
kama anataka shughuli kubwa si atoe hizo pesa!!!
Ajiandae na baada ya ndoa kuambiwa nataka gari mbona jirani analo.
 
mi nakupa mchango wa mawazo.
unaweza tafuta rafiki zako ambao unataka wawe wasimamizi (wadhamini)
wako wa ndoa.....
nenda nao unakopanga kufunga ndoa (msikitini, kanisani, kwa DC,
nyumbani..........), huko kote wanaulizia wadhamini wa ndoa tu.....
mkimaliza hapo mnatawanyika au mnaenda kupata lunch/diner......
umemaliza kazi
wala huhitaji kuumiza kichwa kwa hili mdogo wangu

tusíige mambo kisa harusi ya daniel ilifaana basi we nae unataka uige! vuta mke weka ndan muendelee na maisha, harusi ni misifa na kufirisiana tu.
 
hapo ndo wakaka wengi mnapoingia chaka......
kama swala ni wife basi a-facilitate......
kwani tukio la kwanza na la mwisho lazima limwache mmoja wenu kwenye maumivu?

Kiukweli Madada Mnatuumiza sana
Nilipe mahali (unakuta Mbaba unataja tu Ng'ome kumi na mbuzi sita na mkaja sijui (2000,000) totall
Nimekutaftia kazi, unapata mshahara bado tu unataka kuniumiza kunifanyisha harusi ya expensive
 
Naomba njue, ni ndoa ya kdin au ni zle za show game had tbc1 warushe?
 
Bado hili la kuchangisha hela kwa ajili ya harusi sijaliafiki sana...binafsi ikifika ntajua la kufanya but i'll never solicit funds kwa ajili ya harusi...Kuhusu idea yako..nadhani mshikirishe na mkeo pia ilia naye aone ugumu wa kupata pesa..watu wengi wanachangia ili wawepo kwenye harusi..sasa kwa jf yenye watu hadi korea sijui kama utafanikiwa...ila nakupongeza kwa kuamua kuoa...
 
Back
Top Bottom