Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,532
- Thread starter
- #41
DaaahMkuu kosa si lake, tatzo ni utamu wa kile kitu,
DaaahMkuu kosa si lake, tatzo ni utamu wa kile kitu,
Asantee mkuu wanguUislamu sio kuacha kula Nguruwe,ni imani,ulitakiwa umfundishe uislamu mkuu,kutokula nguruwe ni kipengele kidogo tu cha uislamu,ni cha vitu vilivyoharamishwa.Vitu vilivyoharamishwa ni vingi mkuu na hivyo ungemuelekeza.Mimi siafiki kuoa mtu aliyekulia na dini yake mpaka akawa mtu mzima wa kuoa,alikubali uislamu tu kwa ajili ya ndoa maana manaswara wenzake hawakuwa tayari kumuoa.Mkuu huyo hana imani ya dini ya kiislamu,bado ni mkristo ndio maana anjificha ili ale nguruwe.Cha kufanya ongea naye mkuu muelimishe na umpeleke madrasa ya watu wazima,muambie kama anaona unavyompenda hatosheki ila apate nguruwe mwambie unachukia,na katika mambo ambayo hayapendezi ni mke kumkera mume wake.Mueleweshe majukumu ya mke kwa mume wake.Na imani kama alibadili dini anakupenda ni kumrekebisha tu kidogo mbavu hazijanyooka mkuu.
Walimu wa madrasa nao siwaaminiMuhimu ongea naye zaidi unaweza kutumia muda kumpa mafundisho ya dini aliyohamia ukikosa muda watumie waalimu wakuweza kumwelekeza mafundisho zaidi.
Nimesoma jumbe zako zote. Kwa dhati napokea ujumbe na ushauri wako asantee. Naomba unaiambie naweza kumface vipi!????Mimi ni Muislamu nguruwe ni haramu Nenda Kasome Suuratul Al Baqara .
Labda uwe huna dini kwa wakristo sijui.
Naanza kukupenda.Na kila kilichohalali Quran kimehalalisha na kilicho haramu Quran imeharamisha mtoa Mada kauliza nguruwe, hajauliza mbwa Wala nyoka.
Michepuko haramu sheikhWe huchepuki? Kitimoto ndo mchepuko wake
Amezali ukristo ,amekulia ukiristo na mpaka anamchukua akiwa katka imani ya kikristoUislamu sio kuacha kula Nguruwe,ni imani,ulitakiwa umfundishe uislamu mkuu,kutokula nguruwe ni kipengele kidogo tu cha uislamu,ni cha vitu vilivyoharamishwa.Vitu vilivyoharamishwa ni vingi mkuu na hivyo ungemuelekeza.Mimi siafiki kuoa mtu aliyekulia na dini yake mpaka akawa mtu mzima wa kuoa,alikubali uislamu tu kwa ajili ya ndoa maana manaswara wenzake hawakuwa tayari kumuoa.Mkuu huyo hana imani ya dini ya kiislamu,bado ni mkristo ndio maana anjificha ili ale nguruwe.Cha kufanya ongea naye mkuu muelimishe na umpeleke madrasa ya watu wazima,muambie kama anaona unavyompenda hatosheki ila apate nguruwe mwambie unachukia,na katika mambo ambayo hayapendezi ni mke kumkera mume wake.Mueleweshe majukumu ya mke kwa mume wake.Na imani kama alibadili dini anakupenda ni kumrekebisha tu kidogo mbavu hazijanyooka mkuu.
Usimkataze moja kwamoja kula kwanza mjengee mazingira ya kuujua uislam na kuupenda kuna waalimu wa madrasa wanawake na vyuo pia. Usimkataze Kama wewe hutaki bali mkataze kwa misingi ya dini anachofanya nichukizo kwa Allah anayewapa baraka, her na amani hapo Nyumbani na asiache kwakukuogopa wewe aache kwa kumuogopa Allah (S.a.w)Nimesoma jumbe zako zote. Kwa dhati napokea ujumbe na ushauri wako asantee. Naomba unaiambie naweza kumface vipi!????
Wanawake wanafundishwa na ustadhat sio ustadh sasa watamfanyaje?mtoto akivunja ungo na kuanza kuota chuchu vile vindimu ustadh hawezi kumfundisha maana naye ni binnaadamu anaweza kumtamani amtndike bakora.Walimu wa madrasa nao siwaamini
Usimwambie hivyo mkuu,Tunapomvuta mmoja wao kuja kwetu basi tunapata faida,Tunapompoteza mmoja wetu kwenda kwao tunapata hasara.Amezali ukristo ,amekulia ukiristo na mpaka anamchukua akiwa katka imani ya kikristo
Yeye angeweza kumpata binti wa kiislamu safi haya ya uharamu asingetuletea
Itafka kipind ataipika ndani ya nyumba yake
Ukishajua hvyo basi ukubaliane na hali.Mkuu penzi ni kama uyoga linachipuka popote
Lazima tuwe na do na don'ts mkuuUkishajua hvyo basi ukubaliane na hali.
Kitimoto kisiingilie penzi
Kwa nini huwaaminiWalimu wa madrasa nao siwaamini