MSAADA WENU UNAHITAJI WANA JAMVI WA JF.

MSAADA WENU UNAHITAJI WANA JAMVI WA JF.

ashomile

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,936
Reaction score
3,054
COMPUTER hii ina tatizo la kujizima yenyewe hapo umeiwasha kawaida, lakini ukitumia SAFE MODE yaani POWER ON +F8 > inakupeleka kwenye OPTION
1.REPAIR UR COMPUTER.
2.SAFE MODE
3.SAFE MODE WITH NETWORKING
4.SAFE MODE WITH COMPORT N.K HAPO NITASELECT SAFE MODE ITAWAKA BILA SHIDA NA HAIZIMIKI [emoji25][emoji25]LAKINI NIKITUMIA NJIA YA KIUSALAMA KUIWASHA KAWAIDA BILA KUTUMIA POWER ON NA F8 KWA PAMOJA BASI NAIWASHA THEN INAKUWA HIVI,, MWENYE IDEA AU MSAADA BASI ANISAIDIE .. MAANA KABLA YA KUZIMA KUNA VITU INALETA ERRORS KAMA
TASKENG.EXE
NA HP ...
FUATILIA PICHA HAPA CHINI..
IMG20190529135549.jpeg
 
FUATILIA PICHA HAPA CHINI..View attachment 1111403
Hio ni program ya printer inaonekana. Unaitumia hio printer? Jaribu kuitoa.
 
Hio ni program ya printer inaonekana. Unaitumia hio printer? Jaribu kuitoa.
Mkuu program kuitoa ni ngumu sana [emoji26][emoji26] nishadisconnect nikatumia kwa laptop na nikaiondoa lkn bado inaleta error
 
Mkuu program kuitoa ni ngumu sana [emoji26][emoji26] nishadisconnect nikatumia kwa laptop na nikaiondoa lkn bado inaleta error
Karibu kutumia uninstaller kama vile revo ama iobit itascan hizo program na kutoa masalia yake.
 
Ninazo lakini mkuu nikitumia kuwasha kawaida ndani ya dakika 2 na nusu Computer inazima ,i nikiwa kwa safe mode inatulia bila shida hapa wazo langu ni kupiga window na kufabay baadhi ya updates ..
 
Ninazo lakini mkuu nikitumia kuwasha kawaida ndani ya dakika 2 na nusu Computer inazima ,i nikiwa kwa safe mode inatulia bila shida hapa wazo langu ni kupiga window na kufabay baadhi ya updates ..
Jaribu kuingia safe mode ufanye system restore mpaka tarehe ambayo tatizo likikuwa halijaanza
 
Ahaa inaweza saidia kuondoa tatizo maana nimerestore kawaida lkn naona bado tatizo liko pale pale
 
Camera naiuza njoo na 800k ni mpya kabisa njoo inbox tuongee haina tatizo lolote ni mpya kabisa imetumika miezi mitatu tu bland Nikon D3500 pia Nina copy machine HP coloured nayo ni mpya ina miezi mitatu tu lisit zipo INA warranty zake bado hazijaisha bidhaa in good conditions wala haina tatizo lolote njoo inbox tuongee maongezi na kupunguziana kupo

[emoji724] *DALALI HAHITAJIKI FOR SERIUS BUYER ONLY*

Au WhatsApp me 0656958801
 
Back
Top Bottom