sir j
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 317
- 212
habarini za muda huu......
ndugu zanguni nahitaji msaada wenu, laptop yangu imeleta shida tangu juzi........baada ya kuitumia nilizima kama kawaida......badae kuiwasha, ikawaka lakini screen haikuonesha kitu chochote pamoja na kwamba kile kimlio cha Windows 7 kinasikika kuashiria kuwa PC imewaka.....ni PC aina ya Toshiba satellite C........
Lakini cha kushangaza, bwana mdogo naye leo PC yake aina ya hp imekumbwa na tatizo hilo pia.
Nahitaji sana msaada wenu.
Asanteni sana.