Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Wakuu habari zenu, nimenunua sony xperia z4 lakini sijui jinsi ya kuiwezesha 4G mnara unasoma E, naombeni muongozo wakuu..
nipo dar kipawa, yenyewe ina sehemu imeandikwa prefferd network ukiclick inakuletea E na 4G unajaza sehemu waneandika network idCloning ? Location uliopo ni ipi? Je ukienda setting kwenye mobile network je imekupa option ya kuchagua?? 2G, 4G,3G?
- Power off your device completely, then power it back onasante mkuu, sasa hapo kwenye preffered network type hapakubali ukiclick, nikienda kwenye options za network kuna E na 4G tu inanitaka nijaze network ID
- Make sure you have a network connection (if you have No Service click here)
- Go to Settings > Data Usage and make sure mobile data traffic is ON and there is no data limit blocking you
![]()
![]()
- Go to Settings > More… > Mobile networks > Access point names and make sure you have your Carrier selected (For all APN settings click here)
![]()
- If you are still not getting any internet from your data connection, contact your network provider or leave us a comment below!