Msaada wenu tafadhali wana JF


E

emoshi

Member
Joined
Apr 2, 2011
Messages
28
Likes
0
Points
3
E

emoshi

Member
Joined Apr 2, 2011
28 0 3
naombeni kujua kama mtu alifanya application ya chuo kupitia tcu na akachaguliwa na mkopo akapata kidogo, lakini kwa sababu wazazi wake hawapendi hicho chuo alichochaguliwa na pia hawana hela kabisa za kujazia kwenye mkopo ameanua kuacha mpaka mwakani, je anaweza kufanya application tena mwaka ujao na akapata pamoja na mkopo? Aksanteni sana.
 

Forum statistics

Threads 1,237,166
Members 475,462
Posts 29,279,959