ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,936
- 3,054
Wadau habari zenu?
Nipo Dar kwa sasa, lakini kama mjuavyo kwenye majiji ya watu kuna kununua kitu ukapigwa na kikawa bado hakifai , nimekuja kwenu mnielekeze wapi nitapata betri original kwa ajili ya simu yangu pendwa. Na bei ya hilo betri ntalipata kwa shilingi ngapi na duka gani naweza fuatilia nikalipata .
Wenu mtiifu
ASHOMILE.