sehemu kama polisi hawajatoa nafasi , izo nyingine sijui pakuanzia mkuu, chochote kwenye hayo uliopendekeza nipo tayari.Kajiunge polisi/jeshini/tiss tofauti na hapo labda utafutiwe kampuni za ulinzi
Post sent using JamiiForums mobile app
Aris inavofichwa wewe unaanika tu mambo
DPP
asante kwa ushauri wako,,,ningependa kujua urahisi wa kuingia jwtz maana polisi hawajaajiri muda sasaMahali simple kuingia ni jeshini ( JWTZ & POLISI).. Huko TISS si hadi wakuone wao itakuwia vigumu mnokujiunga nao. Ukiona haiwezekani jeshini JIAJIRI kijana ujenge hiyo organization ya ndoto yako mwenyewe. Mbona simple sana kijana tena kwa carrier yako. Jiamini usiwe mwoga wa hustle za mwanzo...!!
Mkuu Nina kampuni ya ulizi lakini mshahara ni 130000Ndugu zangu nina ndoto zakufanya kazi na kampuni za usalama na ulinzi Au issue za ulinzi na usalama kwenye kampuni/organization yeyote, Najua wahusika mpo huku nisaidieni Mtanzania mwenzenu, nina bachelor ya mambo ya ulinzi kutoka UDSM, nipo vizuri kwenye security projects , surviallance, upelelezi, saikolojia ya uhalifu, usimamiaji wa silaha na mambo ya cyber.
View attachment 543972
Baadhi ya mambo niliyospecialize hayo hapo nimeambatanisha.
contacts; 0689323788
Wewe ukilipwa kiasi hicho cha pesa kwa ujuzi ulio nao utakubali au kwakuwa umeona yamemfika unatake advantage.....waafrika tunapenda sana kunyonyana duuuuh.Mkuu Nina kampuni ya ulizi lakini mshahara ni 130000
the great
Udsm hakuna bachelor ya mambo ya ulinzi acha kudanganya watu.Hiyo either ni Bachelor of Laws(LLB) au Bachelor ya Law EnforcementNdugu zangu nina ndoto zakufanya kazi na kampuni za usalama na ulinzi Au issue za ulinzi na usalama kwenye kampuni/organization yeyote, Najua wahusika mpo huku nisaidieni Mtanzania mwenzenu, nina bachelor ya mambo ya ulinzi kutoka UDSM, nipo vizuri kwenye security projects , surviallance, upelelezi, saikolojia ya uhalifu, usimamiaji wa silaha na mambo ya cyber.
View attachment 543972
Baadhi ya mambo niliyospecialize hayo hapo nimeambatanisha.
contacts; 0689323788