Msaada wenu kwenye hili.

vvm

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
6,135
9,956
.
 
Attachments

  • ed.jpg
    ed.jpg
    203.1 KB · Views: 69
Kajiunge polisi/jeshini/tiss tofauti na hapo labda utafutiwe kampuni za ulinzi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
sehemu kama polisi hawajatoa nafasi , izo nyingine sijui pakuanzia mkuu, chochote kwenye hayo uliopendekeza nipo tayari.
 
Mahali simple kuingia ni jeshini ( JWTZ & POLISI).. Huko TISS si hadi wakuone wao itakuwia vigumu mnokujiunga nao. Ukiona haiwezekani jeshini JIAJIRI kijana ujenge hiyo organization ya ndoto yako mwenyewe. Mbona simple sana kijana tena kwa carrier yako. Jiamini usiwe mwoga wa hustle za mwanzo...!!
 
asante kwa ushauri wako,,,ningependa kujua urahisi wa kuingia jwtz maana polisi hawajaajiri muda sasa
 
hongera kwa mafanikio hayo,ninakupongeza mno vile vile jitahidi kupanua wigo wa utafutaji usiangalie tu soko la ndani,angalia pia nje ya nchi,knowledge yako ni nzuri mno isipotee please,good luck
 
  • Thanks
Reactions: vvm
Ndugu zangu nina ndoto zakufanya kazi na kampuni za usalama na ulinzi Au issue za ulinzi na usalama kwenye kampuni/organization yeyote, Najua wahusika mpo huku nisaidieni Mtanzania mwenzenu, nina bachelor ya mambo ya ulinzi kutoka UDSM, nipo vizuri kwenye security projects , surviallance, upelelezi, saikolojia ya uhalifu, usimamiaji wa silaha na mambo ya cyber.
View attachment 543972

Baadhi ya mambo niliyospecialize hayo hapo nimeambatanisha.

contacts;
0689323788
Mkuu Nina kampuni ya ulizi lakini mshahara ni 130000

the great
 
Wewe ukilipwa kiasi hicho cha pesa kwa ujuzi ulio nao utakubali au kwakuwa umeona yamemfika unatake advantage.....waafrika tunapenda sana kunyonyana duuuuh.

Post sent using JamiiForums mobile app

Ndugu zangu nina ndoto zakufanya kazi na kampuni za usalama na ulinzi Au issue za ulinzi na usalama kwenye kampuni/organization yeyote, Najua wahusika mpo huku nisaidieni Mtanzania mwenzenu, nina bachelor ya mambo ya ulinzi kutoka UDSM, nipo vizuri kwenye security projects , surviallance, upelelezi, saikolojia ya uhalifu, usimamiaji wa silaha na mambo ya cyber.
View attachment 543972

Baadhi ya mambo niliyospecialize hayo hapo nimeambatanisha.

contacts;
0689323788
Udsm hakuna bachelor ya mambo ya ulinzi acha kudanganya watu.Hiyo either ni Bachelor of Laws(LLB) au Bachelor ya Law Enforcement
 
  • Thanks
Reactions: vvm
Udsm hakuna bachelor ya mambo ya ulinzi acha kudanganya watu.Hiyo either ni Bachelor of Laws(LLB) au Bachelor ya Law Enforcement
sijataka kuitaja jina mkuu ... kwa hapa contents tu naona inatosha ,asante kwa muda wako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom