Kwa kweli inategemeana na Banker wa Chuo ulichomo, Vyuo vyote sasa vinatakiwa kuwa na Loan Account ambayo mikopo yote ya wanafunzi itapitia uko, Kwa msingi huo wale wenye account zao na banker wa hiyo account ndio watakaopata hizo pesa haraka.
Hapo kabla Waliokuwa wakipata haraka ni wale ambao account zao zilikuwa kwenye banker wa account za chuo.