Msaada wenu jamani

Dhaje

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
236
Reaction score
196
Mimi ni kijana wa miaka 21 nipo Mkoani Mara, nimemaliza form four(4) mwaka 2018 na kufaulu Ila nilishindwa kuendelea na masomo kutokana na changamoto ya ada nikawa nafanya tu vibarua ndogondogo hapa mtaani

Ila kwa sasa kidogo nina kianzio cha kwenda kuanzia masomo, course ni DIPLOMA IN PHARMACY 3 years, yeyote atakayewiwa kunichangia hata hela ya sabuni asisite au japo kwa ushauri tu

Asanteni
Phone no 0766233977
 
Yaani unataka tukuamini kwa hayo maelezo na hiyo namba tu??ngumu sana jombaa,nenda wilayani,muone mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,nenda kwenye kituo Cha radio,tv,au waone Wawakilishi wao,waliweke Swala lako wazi liweze kuaminika,hapo wabongo watakuchangia.
 
Shukran mkuu Mungu akubariki
 

Kuchangiwa na hata kusomeshwa kwa kulipiwa kila kitu inawezekana kabisa
Ila weka taarifa zako zote kwa uwazi. Majina kamili, unakoishi, shule uliyosoma, matokeo ya mtihani, usajili wa chuo unachoenda na gharama zake

Ukiishia kusema mimi ni kijana wa miaka 21 toka mkoani mara na unataka kupewa pesa huu Uzi utabaki kuwa wa masihara
 

Asante Mama D kwa ushauri wako nitauzingatia
 
Ufaulu ukoje .kwan shule ya a level ulipata ndo ukakosa ada ama ada gan ya shule ulikosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…