Msaada Wauzaji wa Pump za maji za Hydram

Msaada Wauzaji wa Pump za maji za Hydram

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,277
Reaction score
2,436
Habari ndugu wana JF

Naombeni msaada wa kujua muuzaji wa hizi pump kwa hapa Tanzania.

Nimejaribu kusearch online sijapata muuzaji kwa hapa Tanzania.

Mwenye kujua naombeni msaada wa maelekezo.
 
Hizi hydraulic ram pumps naonaga watu wanazipenda kuliko za kawaida. Hafu bongo bado challenge kuzipata ila zipo kuna maonyesho ya week ya maji niliziona.
 
Back
Top Bottom