sir None
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 428
- 215
Mm ni mchezaji wa betting aina ya mbet kwenye simu sasa juzi nimeshinda kiasi kidogo cha pesa na kwenye wallet details inaonesha nimeshinda yaan paid winner lakini mpaka sasa sijaona hlo salio kwenye account yangu ya mpesa na nikipiga customer care haipokelewi naombeni mwenye kujua anijulishe ntapataje pesa yangu?