Nimetapeliwa - meridian bet

Lovehate

Member
Apr 26, 2018
52
75
NIMETAPELIWA NA MERIDIAN BET - NIFANYAJE ? ? ?

Jumapili nimechagua mechi zangu kama tisa, nikazichambua weeee nikaamua kuweka (stake) 1900/=

Mara paaap baada ya kuliwa sana jana ikawa zamu yangu kuwala nikashinda 184,000/=

Nikaingia kwenye account yangu ya meridian bet nika withdraw pesa kama taratibu zilivyo na ni vilevile kama nikifanikiwa kushinda bet.

Ikaja sms ya mpesa umepokea 140,000/= na kwenye mpesa yangu ilibaki 500 hivyo salio kuu likasoma 140,500.

Imefika mda nataka kununua salio kwa mpesa naambiwa huna salio kiwango cha pesa ulichotumiwa kimerudishwa.

Nimebaki na masononeko tu sijui kama polisi nitasaidiwa au nitapoteza hela zingine

Niambien hatua za kufuata customer care ya meridian wananikatia simu.

Aliyewahi pata changamoto kama yangu alifanya nini kupata haki yake.
 
Hiyo mbona ni hela ndogo mpaka wakufanyie hivyo! Najua wanaweza kufanya ivyo kwa sababu hiyo ni kamari ila sidhani kama wanaweza kufanya ivo kwa laki na 40 elfu labda kama ingeanzia milioni 10.

hapo wanaoweza kukusaidia ni gaming board tafuta mawasiliano yao.
 
Pole sana mkuu,ilA unachafua brand ya kampuni wakiamua kukushitaki unaweza fungwa,ila itakuwa ni issue za kawaida utapata pesa yako.
 
Hiyo mbona ni hela ndogo mpaka wakufanyie hivyo! Najua wanaweza kufanya ivyo kwa sababu hiyo ni kamari ila sidhani kama wanaweza kufanya ivo kwa laki na 40 elfu labda kama ingeanzia milioni 10.

hapo wanaoweza kukusaidia ni geming board tafuta mawasiliano yao.
Asante kwa ushauri
 
Check na VODA upate min statement yako uone kama pesa iliingia na imetumikaje lakini meridian huwa hawana shida tunatoa hadi milioni na mzigo unasoma
 
Pole sana mkuu,ilA unachafua brand ya kampuni wakiamua kukushitaki unaweza fungwa,ila itakuwa ni issue za kawaida utapata pesa yako.
Sikujua kama naweza shitakiwa ila nawapigia simu wananikatia
 
Check na VODA upate min statement yako uone kama pesa iliingia na imetumikaje lakini meridian huwa hawana shida tunatoa hadi milioni na mzigo unasoma
Asante sana kesho nitaenda ofisini voda maana kwenye simu wameniambia niwacheki meridian nisipoelewana nao ndio niende polisi
 
Tuliza akili kwanza ngoma isije kubackfire ukapewa kesi ya kuchafua jina la kampuni..

Ongea na Vodacom na Meridian, usipowapata nenda Gaming board

Laki moja sio hela ya kutapeliwa na kampuni kubwa kama hiyo
Asante kwa huo ushauri
 
Back
Top Bottom