- Unataka wireless mouse utumie huku computer iwe mbali au unataka uweze kutumia mouse moja kucontrol computer 2.
Kama unataka mouse 1 kucontrol computer 2 nafkiri haina maana ni bora utumie computer 1 monitor 2 maana italeta same meaning but itakua njia rahisi zaidi.
ila kuna hii switch ina itwa KVM switch una unganisha mashine kama nne au tatu na una zi control zote kwa kutumia screen mmoja mouse mmoja na keyboard moja zote hizo zina kuwa zime ungwa kwenye hiyo switch
pia kama shida ni ku access pc nyingine iliyo mbali/karibu unaweza tumia software ya team viewer. net yako tu iwe fresh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.