Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,335
- 2,904
Habari wakuu,
Nataka kutengeneza bootable flash disk, OS ninayotaka kuifanya bootable ni Debian (Linux) na OS ninayotumia kwa sasa ni XP. Kuna tool moja nimeipata ya kuifanya flash disk iwe bootable ila tatizo linakuja kwenye hiyo iso image, maana hiyo tool inataka hilo file liwe kwenye format ya image wakati kwenye kuidownload inakuwa zip compressed file.
Tafadhali mtu anayejua namna ya kuitengeneza anisaidie, maana maelezo mengi ya kwenye google hayajanisaidia.