Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,703
JINSI YA KUTENGENEZA BOOTABLE USB PENDRIVE (FLASH) KWA KUTUMIA COMMAND
Technology inakuwa kwa kasi sana siku hadi siku. tumezoea kutumia CD kwa ajili ya kuinstall window kwenye computer zetu ila ubaya uliopo kuwa CD zinahitaji uangalifu mzr ili iweze kudumu kwa muda mrefu tumejikuta tukiingiza window mpk katikati inakwama kutokana na CD kupata mchubuko mdogo tu.
sasa fanya pendrive yako (flash) kuweza kuingiza (install) window ndani ya computer yako.
watu wamekuwa wakihangaika kutafuta software za kufanya FLASH kuweza kuboot kwenye computer kwa ajili ya kuingiza window mpya
leo nakupa njia hii ya command ambayo ni rahisi sana, utaweza kuweka window kwenye flash na kuitumia muda wwte ule unapo hitaji huna haja kuwa kila siku unahangaika kutafuta CD mpya ya window.
hii command inafanya kazi kwa window vista 7/8/8.1/10 tu. ila kama unahitaji kwa ajili ya window XP inabidi utafute software zitakazo kuwezesha kufanya hvyo.
fuata njia zifuatazo kwa umakini sana
♧ weka pendrive (flash) yko kwenye computer
♧ fungua command prompt as administrator
tafuta CMD kwenye sehem ya start bar itakuja hapo juu kisha right click than utabonyeza as administrator
♧ baada ya kufunguka utaandika DISKPART
hapa command hyo itakupeleka kwenye Disk Management Utility
♧ baada ya hapo andika LIST DISK
Hii itakuonesha disk zote zilizomo kwenye computer yako zikiwa na nambar disk 0, 1,2...
♧ baada ya hapo angalia vzr nambar ya flash yako mara nyingi inakuwa nambar ya mwisho ila kuwa na uhakika
♧ baada ya kujua namba yko ya flash andika hv SELECT DISK 2
hapo nambar mbili nimetumia mfano badilisha kwa nambari itakayo kuletea hapo kwenye computer yako
♧ sasa ni kuiandaa flash yako kwa ajili ya kuifanya kuwa Bootable flash
♧ baada ya hapo andika CLEAN
utapokea ujumbe chini yake kuwa successful
♧ kisha andika CREATE PARTITION PRIMARY

♧ andika SELECT PARTITION 1
utapokea ujumbe partition 1 is now the selected
♧ kisha andika FORMAT FS=NTFS QUICK
utapokea 100% percent complete
♧kisha andika ASSIGN
utapokea successful
♧ mwisho utaandika EXIT
sasa tayari tumeshaifanya flash yetu kuwa Bootable flash kilichobaki ni kucopy file za window kutoka kwenye CD na kuweka kwenye pendrive (flash). hapa kuna njia 3 ila nitatumia moja rahisi ili kupuza urefu wa mada hii
♧ ingiza CD yako ya window
♧ fungua hyo CD hakikisha umefungua
folder la kwanza la window 7 setup file
hapa file na folder zote utaziona nadhani zipo 7
♧ copy hzo file 7 kisha past kwenye flash yako
baada ya hapo unaweza kujaribu kwa kurestart computer yako badilisha setting yko ya BIOS ili iweze kuboot kwenye flash
ikiwa haito boot basi itakuwa umekosea step