Msaada: Wataalamu wa iPad

Msaada: Wataalamu wa iPad

ruhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
5,218
Reaction score
8,561
Habari za asubuhi wanajukwaa.<br><br>Ninayo iPad ya Apple version 2.2(740), nashindwa kufanya vitu vifuatavyo:-

1. Kuangalia salio bila kutoa mono chip ya airtel ninayotumia ili niweze kuweka salio na kuunga bandle.

2. Ku copy other documents from my computer to my iPad

Naombeni msaada kwa mwenye kunisaidia. Natanguliza shukrani kwenu.
 
1. kuangalia salio/kueka bundle hutaweza hio ni line ya kukupa internet tu na sio kuitumia kama simu

2. kucopy vitu toka pc hadi ipad itabidi utumie itunes. idownload hapa

https://www.apple.com/itunes/download

update
pia zipo njia zengine za kuhamisha kwa kutumia internet toka kwenye pc hadi ipad kama una internet nzuri.
 
Ussd code itawezekana tu iwapo uta jailbrake ipad yako mkuu na kuinstall QueryUSSD kutoka cydia
Fanya utafiti kuna baadhi ya ipad hazisapoti hii tweak

Kuhusu kuhamisha vitu kwa pc unahitaji data cable na itune utakayo install kwenye pc yako
 
Sasa kwa stail hili, nitawezaje kuweka salio ili niunge bandle?
 
Sasa kwa stail hili, nitawezaje kuweka salio ili niunge bandle?

Simple way toa line weka kwa simu, unga bando kwa simu then rudisha line kwenye ipad

Njia nyingine kwa mfano voda unaweza kujiunga kwa option ya "mnunulie mwingine kifurushi"
Kwenye simu yako unakwenda kununua vifurushi lakini unachagua mnunulie mwingine kisha unaweka no ya line ya ipad yako na inajazwa kifurushi
 
Back
Top Bottom