msaada wataalam

msaada wataalam

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
385
Reaction score
104
habari ya leo JF members. Naomba msaada, jinsi ya kurudisha colour ya TV wakati dvd ina play. Mwanzo ilikua na rangi vzr tu. Ila nashangaa kila cd nikiweka inaonyesha black n white.
Thanx in adv
 
TV gani? kwanini maelezo hayakamiliki? unataka tuwe waganga wa kienyeji?
 
Back
Top Bottom