Msaada wataalam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wataalam

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mchambuzixx, Oct 9, 2012.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  nipeni maujanja ya ku download movie nikiwa kwa ofisi mana hapa wameweka proxy mwenye maujanja kila kitu unapata isipokua ukitaka kudowload ina restrict mwenye maujanja ayamwage
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,766
  Likes Received: 7,069
  Trophy Points: 280
  Tumia idm na aina za movie ziwe flv maana network administrator wengi wanasahau kuiblock hii.

  Mfano wa movie za flv ni video za youtube so try kudownload video za youtube na idm ikikubali kwa speed nenda tubeplus.me utapata movie kibao za flv.

  Alternative kama umeshindwa kudownload idm ukiwa youtube kudownload add ss nyuma ya url ya youtube
   
Loading...