Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 810
- 712
Habari wataalam, nina kuku naisi kawa kipofu gafla ila ana vidonda vyovyote kwenye macho sijui ugonjwa gan umemkuta na mm sio mtaalam kabsa haya mambo, naombeni msaada wa haraka maana kuku anavfaranga nataka kumchinja ila nahurumia vifaranga vtakosa support aisee.
Asanteen nawakilisha
Asanteen nawakilisha