msaada wataalam wa uchumi na wahasibu.

seems wewe bado ni mdogo nakushauri ingia chuo usome BSc/BA accounting then pata kazi uanze CPA,ila kama unataka gambling ya maisha yako na frustration za maisha anza CPA na usiende chuo.
 
naamini wachumi na wahasibu mtanishauri maana ndo mna ujuzi.mi nimemalza form 6 ECA na
kugpata econ c,acount c ,comm
d,bam s.mi napenda sana kuwa
economist pia accountant,lakn
inabidi nchague kimoja,sasa
naomba msaada kozi ipi nzuri na
itanitoa kati ya bachelor of
accounting and finance Vs bsc
Economics.pia katika chuo kipi?
nawasilisha.

soma accounts and finance then piga CPA! HALAFU UONE itakuaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom