Msaada wataalam wa internet (wireless na 4G, 3G)

Msaada wataalam wa internet (wireless na 4G, 3G)

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Ndugu wa jf, naomba msaada wenu, device inayotumia 4G + Cellular internet, inaweza kupata internet ya 3G? Nauliza hivi kwa sababu nataka kununua IPAD 4 yenye uwezo wa 4G + Cellular internet hivyo nataka kujua kama itaweza kushika 3G internet,

Aksanteni
 
mkuu in short inayo 3g na inakubali vizuri kwa mitandao ya tanzania. Ila make sure tu sio ya tmobile (japo apple hawana hizo device ila wataanza soon).

Next time ukitaka kujua kama kitu kinafanya kazi bongo google specification zake then angalia band za 3g/gsm ziwe 850 au 2100 au 900 sisi hapa hatuna 1700 tu ambayo ni tmobile
 
Aksante mkuu kwa maelezo yako
 
Back
Top Bottom