Msaada: Wapi Nitapata Smartwatch Zenye Uwezo Wa Kusoma PDF.

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Kama Kichwa Kinavyojieleza! Wakuu Naomba Kujua Wapi Nitapata Hii Kitu:
SMARTWATCH Yenye Uwezo Wa Kuhifadhi Na Kusoma PDF Files.

Asanten.
 
anataka azame nazo UE na wakati wa kusapua masomo hivi karibuni.

mkuu ngoja wasau waje huwenda ukapata msaada wa unachokitafuta
 
Back
Top Bottom