Han Solo JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 462 Reaction score 1,079 Apr 3, 2020 #1 Hello wana jukwaa, Natafuta monitor kama hii upana wa kati ya inchi 22 mpaka 27 Kama nikisaidiwa na bei itakuwa poa zaidi. Natanguliza shukrani
Hello wana jukwaa, Natafuta monitor kama hii upana wa kati ya inchi 22 mpaka 27 Kama nikisaidiwa na bei itakuwa poa zaidi. Natanguliza shukrani
Salahan JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,961 Reaction score 3,699 Apr 3, 2020 #2 Kkoo Sent using Jamii Forums mobile app
Han Solo JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 462 Reaction score 1,079 Apr 3, 2020 Thread starter #3 salaniatz said: Kkoo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kkoo kubwa mkuu, kama kuna mahala pa uhakika naweza enda straight badala ya kuzunguka zunguka kubahatisha
salaniatz said: Kkoo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kkoo kubwa mkuu, kama kuna mahala pa uhakika naweza enda straight badala ya kuzunguka zunguka kubahatisha
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,263 Reaction score 44,391 Apr 3, 2020 #4 Han Solo said: Hello wana jukwaa, Natafuta monitor kama hii upana wa kati ya inchi 22 mpaka 27 Kama nikisaidiwa na bei itakuwa poa zaidi. Natanguliza shukrani View attachment 1407788 Click to expand... Kkoo kuna duka wanaziuza 450k lipo likoma na Aggrey kama unaenda likoma na uhuru kulia. Sema hizo monitor zamani kidogo niliwahi kuziona machinga complex 100k mpaka 200k kutegemea na ukubwa.
Han Solo said: Hello wana jukwaa, Natafuta monitor kama hii upana wa kati ya inchi 22 mpaka 27 Kama nikisaidiwa na bei itakuwa poa zaidi. Natanguliza shukrani View attachment 1407788 Click to expand... Kkoo kuna duka wanaziuza 450k lipo likoma na Aggrey kama unaenda likoma na uhuru kulia. Sema hizo monitor zamani kidogo niliwahi kuziona machinga complex 100k mpaka 200k kutegemea na ukubwa.
son_of_masia JF-Expert Member Joined Oct 5, 2015 Posts 378 Reaction score 265 Apr 4, 2020 #5 Chief-Mkwawa said: Kkoo kuna duka wanaziuza 450k lipo likoma na Aggrey kama unaenda likoma na uhuru kulia. Sema hizo monitor zamani kidogo niliwahi kuziona machinga complex 100k mpaka 200k kutegemea na ukubwa. Click to expand... Machinga kwa sasa kupata kwa hyo bei ni ngumu. Sent using Samsung S9
Chief-Mkwawa said: Kkoo kuna duka wanaziuza 450k lipo likoma na Aggrey kama unaenda likoma na uhuru kulia. Sema hizo monitor zamani kidogo niliwahi kuziona machinga complex 100k mpaka 200k kutegemea na ukubwa. Click to expand... Machinga kwa sasa kupata kwa hyo bei ni ngumu. Sent using Samsung S9
son_of_masia JF-Expert Member Joined Oct 5, 2015 Posts 378 Reaction score 265 Apr 4, 2020 #6 Hii nilibahatisha kwa raia,ni second hand. Sent using Samsung S9