fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,843
- 2,967
Habari wakuu! naomba mwenye kujua hizi cable zinauzwa wapi mji wa Dodoma pia duka lipi kama ataweza nipa uelekeo .
Nb: Cable tu za kuunga External hdd na pc, itapendeza kama ukiwekamo kabei(ikiwa unajua) ili nijipange.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nb: Cable tu za kuunga External hdd na pc, itapendeza kama ukiwekamo kabei(ikiwa unajua) ili nijipange.
Sent using Jamii Forums mobile app